Msanii wa Gospel Danny Gift alipochipukia wengi walikuwa na matumaini kubwa sana kwake ila kama siku zinavyokwenda ubunifu umekuwa adimu kwake sana ,hii ni kutokana na kazi yake mpya #Yesuniwangu akiwa amemshirikisha @GuardianAngelK
#YESUNIWANGU Link on our bios.
Ka Binadamu wangekuwa wanacontrol Maisha basi tungepata Taabu kibao.. Kungekuwa na duka ya kuuza Hii uzima pumzi moja wangetuuzia zaidi ya thao🎶 🎶… https://t.co/KTPRfbqEBN