Tarehe Kama ya leo mwezi Kama huu Alizaliwa Mwenyekiti wa Bavicha M mjini Magharib & Kaimu Mkuu wa idara ya Habari na Mawasiliano Chadema Zanzibar kamanda @Mwalim_Junior kijana makini wa chama, mchapakazi, Asiyeyumbishwa. Tuungane Kumtakia Maisha marefu.
Happy birthday kamanda.
Huyu ndiye princess Qajar alikua ni mtoto wa mfalme wa Persian Miaka ya 1900s.
Huyu aliwapa tabu sana wanaume kwasababu alionekana kuwa ndio mrembo zaidi ambapo wanaume wengi walimfuata na akawakataa na Zaid ya wanaume 13 walijua kwa kukosa penzi lake baada ya kukataliwa
Mchukue De Bruyne, Casemiro, Makitominey,Enzo Fernandez Watie Kwenye Brenda Saga Kwa Dakika Moja Kisha Ongeza Fabinho Na Bruno Saga Tena Kwa Dakika Moja Kisha Ongeza Sanitizer Kwa Mbali Halafu Koroga Ndoo Unampata JORGINHO 🤗
Mwili wa mchezaji wa kimataifa wa Ghana Christian Atsu umepatikana akiwa ameshafariki.
Atsu amefariki kufuatia janga la tetemeko lilitokea hivi karibuni nchini Uturuki.
Kwaheri Atsu🙏