#October29Massacre
The first step to redemption is admitting the horror: our people were massacred on October 29 and the bloody days after, an unprecedented atrocity! The October 2025 Massacre will not fade into oblivion like Angola’s forgotten May 1977 slaughter. No, we will etch it into history as a rallying cry against impunity. https://t.co/xK1Vgy0GqR
VIDEO:
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea Udiwani wa chama hicho kata ya Gungu Hussein Baswariyyu, mara baada kumaliza kufanya mkutano na kuomba kura kwa wakazi wa kata hiyo, Oktoba 24, 2025.
Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa ya kuungua kwa Soko Kuu la Kawe leo. Natoa pole za dhati kwa wafanyabiashara,wananchi na familia zote ambazo zimeathirika na janga hili. Hili ni pigo kubwa kwa maisha na uchumi wa watu wetu.
"Othman Masoud Othman akiwa Rais wa Zanzibar haki itatamalaki, watu watatendewa haki, Zanzibar itachukua nafasi yake kwa maana ya mamlaka kamili ambayo inastahili, akiwa Rais wa Zanzibar atashirikiana na wenzake kutengeneza sera zitakazoleta unafuu wa maisha yenu, atakapokuwa Rais wa Zanzibar ataigeuza Zanzibar ishike nafasi yake katika uchumi wa eneo hili la bahari ya hindi na maziwa makuu kwa kuigeuza Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika" - Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu mstaafu wa ACT Wazalendo akizungumza katika uzinduzi wa kampeni za chama hichi visiwani Zanzibar #EastAfricaTV
Kesho Septemba 01, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu Luhaga Mpina atazungumza na vyombo vya habari.
Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM
Muda: 5:00 Asubuhi
Oktoba #LindaKura#MuhuniHasusiwi
Chama chetu @ACTwazalendo kinaendelea kukua kwa kasi! Kila siku tunapokea mamia ya wanachama wapya kutoka CCM na vyama vingine, wanaojiunga nasi— Kanda ya Ziwa na kila kona ya Tanzania, na —kwa sasa Tanzania ni zambarau tu!
Usibaki nyuma—jiunge sasa na @ACTwazalendo maana #TheFutureIsPurple asante Msalala!💪🏽
@IAMartin_ Bro kwema nyinyi hamshiriki uchaguzi kwanini mmejipa kazi ya kushupaza shingo si muendelee na mipango yenu na muitekeleze muachane na hao wanaoshiriki.
Aprili 12, 2025 kutakuwa na Kongamano la Viongozi wa Mkoa wa songwe lenye madhumuni ya kusukuma ajenda ya kutaka mabadiliko ya msingi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Mgeni rasmi ni Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy.
#OperesheniLindaDemokrasia