@comanchechiefIV@AbroadTanzania Kakoke pia hapo muondoe,, KWA kakobe hakuna ibada za namna hiyo na yeye pia ni mpingaji wa mambo hayo fuatilia clip nyingi z pastor kakobe utasikia akikemea manabii au maaskofu mitume n.k wa namna hiyo
@iamcleopatricia Kwa hili yupo sahihi kwani hata Yesu mwenyewe alisema MTATOA PEPO KWA JINA LANGU NALO LITATII hivyo kutoa pepo KWA maji mafuta kitambaa chumvi n.k hiyo ni biashara tu WAJINGA NDIO WALIWAO
@Jambotv_ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ nimejikuta tu nacheka hapa mpaka nimepaliwa,, na waumini wapo wanataka kumuona live akipaa kwenda mbinguni