@tanescoyetutz Shirika la kihuni na lenye wahuni mtupu.mlipaswa kuachia ngazi maana uzembe si mara ya Kwanza . Na mlipaswa kuajiliwa kwa mkataba wa mwaka mmoja ili ukiboronga kazi huna .unarudi nyumbani kula matembele .Haiwezekani mvua inanyesha halafu kuna mgao wa umeme. kiangazi ni ovyoovyo
ππππuto....πΈπΈπΈπΈbwanaaaπππππ na wakavaa jezi nyeusi wapiiiiππππππmkando ukawa pale paleπππππ https://t.co/F4BkikW53v
21_07_2021.Historia imeandikwa kwa Simbasctz,kwa kumpata mshindi wa goli Bora la mwaka la tuzo za CAF barani Afrika.Kongole kwa @pape__sakho π₯π₯π₯βοΈβοΈβοΈππππππ¦π¦π¦Nguvu moja.ππππ¦π¦π¦πππwoyoooooπππππ¦π¦Baba Lao. https://t.co/CH7rgoawae
Mambo Ya kuepuka sana ukiwa kijana,
1.Excuses (kujitetea)
2.kutojiamini(lack of confidence)
3.hofu ya kufeli(fear of failure)
4.kuhairisha mambo (postpone)
5.enjoying people
6.negative thought(mawazo hasi)