@McinikaWaLamar Ayaupuke Matumizi mabaya ya
- PESA
- vilevi
- mjulubenga usipenye Kila eneo , achague shimo 1 la kupenyeza.
- asipende kula kula .
-;asiwe na dharau Kwa wanaume wenzake kwani hajui nani anaweza kuwa msaada kwake.
Mengine aende Kwa @max_zitatu na @prossoff atayajua Kwa undani