@TheCitizenTz We are blessed having him in our country, our beloved father of nation, umeacha Tanzania haina dini wala ukabila mwenyezi Mungu aendelee kukubariki mzee wetu.
Kila siku nawaza kuwa yanayoendelea hamna anayeyaona? Kwa hiyo nchi hii hamna wazee kama kule kwetu kwenye familia mkifarakana kuna wazee wa familia wanakaa na kumaliza changamoto zote mnakula mnyama mmoja imeisha..tunashindwaje hapa kwenye taifa letu wote? Tafadhali wote sisi.
Kiukweli napenda mziki tena sehemu zenye kelele ila now naomba kupumzika 😀😀 kwani kuna sehemu ikifika sehemu saa sita usiku inapigwa hakuna Mungu kama wewe bwana unakuta waumini wengi sana...nakemea pepo tusali jumapili sio usiku kwenye bata😀😀😀