Fred Matiangโi: Mimi nataka kuwaambia hawa viongozi wenzangu, tuwe watu wa kusema ukweli. Tukikubaliana, tutaenda kuzungumza na tutoe candidate mmoja. Tufanye hivyo, kwa sababu hivyo ndivyo wananchi wanataka.
"Tafadhali usiniletee maneno ya mtu mjinga kama huyo. Ule ni mpuuzi sana. Mimi nimeketi hapa kama Rais wa Kenya, unaniletea maneno ya huyo mtu wazimu." ~ Ruto fires back at journalist over Gachagua's niobium claims
โTafadhali usiniletee maneno ya mtu mjinga kama huyo. Ule ni mpuuzi sana. Mimi nimeketi hapa kama Rais wa Kenya, unaniletea maneno ya mtu wazimu kama Gachagua?โ Angry President Ruto shuts down Mombasa Journalist Over Gachagua's allegations.
Receipts don't lie.
โHere is a 12-year-old clip of Ruto in Kogi State, Nigeria, sent by Uhuru to inspect Dangoteโs cement plant and fast-track licensing in Kenya.
โToday Ruto wants us to believe "nameless, imaginary cartels" demanded bribes from Dangote.