@MrDepalitto7 Hapo inahitajika pesa ya kwa pamoja Kama bati mbao na pesa ya fundi so Unaweza kununua bati ukaweka zen mbao ukaweka baadae pesa ya fundi ukapaua kwaiyo kujenga boma ni rahisi kuliko kupaua kwasababu pesa inahitajika kwa pamoja
@epQname@AbroadTanzania Atafute sehemu wanayo jenga sana aanze kuuza tofari or mbao or cement yan vifaa vya ujenzi aweke ukaribu na wenye maduka makubwa na kujenga uaminifu
Or afungue ofisi Ya aluminum