Lilith, mwanamke aliyesahaulika katika uumbaji wa Kwanza.
Mungu aliumba dunia na ulimwengu kwa siku sita, na siku ya saba akapumzika.
Miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja kwa Mungu (2 Petro 3:8), kwa hiyo kwa mtazamo huo, tunaweza kusema kuwa uumbaji wa dunia ulidumu kwa miaka 6,000 ya kibinadamu.
Lakini acha tuachane na hesabu hizo na tuingie kwenye kitu kinachovutia zaidi, uumbaji wa mwanadamu wa kwanza.
Uumbaji wa Adam na Lilith
Vitabu vingi vya historia na maandiko ya kale yanaeleza kuwa Mungu alipomuumba Adam, hakuishi peke yake mara moja.
Kulikuwa na mwanamke wa kwanza kabisa kabla ya Hawa, aliitwa Lilith.
Tofauti na Hawa ambaye aliumbwa baadaye kutoka kwenye ubavu wa Adam, Lilith aliumbwa kwa njia sawa na Adam, kutoka kwenye udongo.
Hili linapatikana kwenye Mwanzo 1:27, ambapo inasema.
"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba."
Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!?
Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu wako.
HIPO HIVI...
Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani "Detoxification".
Sumu za mwilini (Toxins) ni chanzo kikuu cha magonjwa mbamli mbali haswa magonjwa yasiyo ambukizwa. Kama Kisukari, Saratani, shinikizo la damu, Figo N.K...
Mitindo mibovu ya maisha, Vyakula tunavyokula kila siku,vinywji, Kutokufanya mazoezi nisababu kubwa ya kuwa na sumu nyingi mwilini.
FANYA HIVI, HUPUNGUZA SUMU MWILINI....
1. Panga ratiba nzuri ya mazoezi na vyakula kwa kuzingatia makundi makuu matano ya vyakula.
2. Nasisitiza kuamka mapema.
3. Zingatia mazoezi kila siku asubuhi walau dakika 30 hadi 45.
4. Hakikisha unatokajasho..Endelea na mazoezi mpaka jasho likauke.
5.Pata Mchanganyiko wa Vitunguu maji, swaumu, Tangawizi, Limao na Asali Mbichi..
Sijajua wewe ni dini gani lakini wacha nikusaidie kidogo kwenye maandiko. Unajisi ni nini??
Yesu anasema Unajisi sikatika mwili bali katika roho.
Ukitaka kuthibitisha kuwa unajisi sio katika mwili, Yesu aliulizwa na mafarisayo ambao hawa waliishi sana Torati ya Musa ambayo ilibeba mila na tamaduni zao. Wakamuuliza Yesu Kwa hiyo wale Mafarisayo na walimu wa sheria walimwuliza Yesu, “Mbona wanafunzi wako hawafuati desturi za wazee wetu, na badala yake wa nakula kwa mikono najisi?”
Marko 7:18-23 “Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.
Je vyakula vinaweza kutupeleka mbinguni au motoni?
Warume 14: Basi, tuache kuhukumiana. Badala yake tuamue kuwa hatu tamkwaza ndugu kwa kitu cho chote. 14 Ninajua hakika kuwa nikiwa katika Bwana Yesu hakuna kitu cho chote ambacho kwa asili yake ni najisi.
17 Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa bali ni haki, amani na furaha ndani ya Roho Mtakatifu. 18 Kwa maana mtu ye yote anayemtumikia Kristo kwa jinsi hii, anampendeza Mungu na anakubaliwa na wanadamu.
Mtume Paulo anasemaje?
Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila ya kuuliza uliza kwa ajili ya dhamiri ,maana ,dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo, mtu asiyeamini akiwaalika ninyi mnataka kwenda ,kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila ya kuuliza -uliza kwa ajili ya dhamiri" {1 Wakorintho 10:25-28}
Petro nae anasemaje “Alipokuwa akiomba akahisi njaa, .. akalala usingizi mzito sana. Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne.
Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani. Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.”
Petro akajibu, “La hasha Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.” Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.”
“Ingawa tafsiri hii ya Petro ilikuja kama ujumbe kwamba asibague watu hasa wale wapagani. Kwamba awahubirie, awaponye na kuwabatiza. Hata hivyo ujumbe huu ni tafsiri ya moja kwa moja kwamba kilichoumbwa na Mungu sio najisi ispokuwa ubatili wa shetani.
Kuhusu Pombe mifano ipo Mingi sana, kuna mfano wa Yesu alipokwenda Harusi mjini Kana alitengeneza divai. Baadhi ya maandiko yanasema muujiza wa kwanza wa Yesu ni huo wa kubadilisha maji kuwa divai. Karamu ya Mwisho ya Yesu na wanafunzi wake aliwapa divai
Kwa bahati mbaya hatujawahi kuwambiwa divai kama ni juisi bali imeishia kusema Divai ikimaanisha Wine.
Timeteo Pia aliwaasa wazee kuhusu mvinyo akasema Usinywe maji tu, bali unywe divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara (1 Timoteo 5:23)
Uzuri concept ya hoja yako kuhusu Pombe na Unajisi ni mfano mzuri sana. Kwamba, pombe sio Najisi, isipokuwa kile ambacho utakifanya baada ya kulewa ndio najisi. Kivipi, umelewa umetukana, umezini nk.
Kwahiyo unajisi ni madhaea yatokanayo na dhamiri zetu ambazo ni kinyume na batili mbele ya Mungu.
1. Kama Una msongo wa mawazo: kula ndizi.
2. Kwa ngozi nzuri: kula limau.
3. Kwa macho mazuri: kula karoti.
4. Kwa kikohozi: kula nanasi.
5. Kwa kuharisha: kula nazi.
6. Kwa afya ya utumbo: kula kabeji.
7. Kwa mwili wenye maji ya kutosha: kula tango.
8. Kwa figo nzuri: kunywa lita 2-3 za maji kila siku.
9. Kwa afya ya moyo: kula parachichi na maharagwe.
10. Kwa tezi dume nzuri: kula nyanya.
11. Kwa kuongeza chembe nyekundu za damu: kula beetroot.
12. Kwa nguvu za kiume: kula tikiti maji.
13. Kwa mifupa imara na kinga ya mwili: kula mayai na samaki.
Kula matunda leo, Sambaza kwa wengine!
Kiboko ya Mbegu Nyepesi Kama Maji....No Dawa katika hili Asikudanganye Mtu..💦
↳ Tengene kombo ya mchanganyiko wa Ingredients zifuatazo kisha Pata glasi moja kila siku.
1. TENDE: Zinaongeza nguvu na stamina mwilini.
2. ALMONDS: Chanzo kizuri cha magnesiamu na virutubisho vinavyosaidia afya ya uzazi.
3. ASALI MBICHI: Huimarisha uzalishaji wa homoni muhimu za kiume.
4. KOROSHO: Huongeza uzalishaji wa testosterone kwa sababu ya madini ya zinki.
5. NDIZI MBIVU: Zina potasiamu, ambayo husaidia katika mzunguko mzuri wa damu.
6. MAZIWA FRESH: Husaidia kuboresha afya ya mwili na kuimarisha kinga za mwili.
NB: Kwa kutumia vyakula hivi asilia, utaboresha afya yako ya uzazi wakati wote.
Epuka matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume ni hatari kwa afya yako, Anza Miongozo yako sasa...👇
https://t.co/aYiYcyaBPY
Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 → Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ → Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 → Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 → Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost 🔄 → Kwa Ajili ya Wengine!
MAJANI YA MPERA 💦💦💦
1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi
2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy)
3. Majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini.
4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini.
5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
6. Pia inatumika kama scrub ya uso.
Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara
8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yaliyooshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria.
9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu.
10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume.
11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu chunusi.
12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza uzito mwilini na kuzuia uharibifu wa sukari ndani ya mwili
13. Majani ya mpera yanajaza nywele na kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya nywele zako.
14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi, maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera na utaona maajabu ya majani haya.
15. Chukua majani ya mpera saga vizuri mpaka yawe laini kabisa ongeza na maji kidogo kisha tumia kupaka usoni kama scrub inatibu ngozi inayoanza kuzeeka mapema.
16. Chai ya mpera inasaidia kwa kutibu mvurugiko wa tumbo.
Pamoja na majani hayo kuwa msaada wa kutibu maradhi mbalimbali , halikadhalika juisi ya mapera nayo husaidia sana kutibu mgolo au bawasiri, figo na hata kuondoa mafuta katika moyo.
Kimsingi mti wa mpera karibu kila sehemu yake ni tiba kwani hata mizizi yake inapochemshwa na kutumia kwa kunywa huenda kuwasaidia wanawake wenye matatizo ya hedhi au wenye matatizo ya kutokwa na maji yenye harufu mbaya sehemu zao za siri.
17. Majani ya mpera yanaondoa tatizo la kukatika kwa nywele. Chemsha majani kisha wacha yapoe na ukande kwenye paji na eneo la ngozi taratibu kwa dakika 15, Wacha kwa dakika 30 kisha osha na maji safi bila shampoo au sabuni. Fanya hivyo mara 3 kila wiki.
NAMNA YA KUTUMIA
Tengeneza chai ya majani ya mpera. Kuna namna mbili.
1*Aidha chemsha maji kama glasi nne mpaka itokote sana, chukua majani kama 10 ya mpera, weka ndani ya yale maji moto kisha funika kwa dakika 10 - 15 koroga, chuja, chai yako tayari.
2* Aina ya pili ni kuchemsha maji hayo pamoja na majani yakiwa ndani. Ikitokota ondoa kwenye moto, wacha kwa dakika 10 -15 chuja, chai tayari. Waweza ukatumia majani yaliyokauka pia.
Zingatia ukichanganya na ASALI MBICHI badala ya sukari ndio bora zaidi.💦
Hii Hapa Orodha ya Vyakula 9+ Asilia Vitakavyosaidia Katika Kuongeza Urijali Mara 2, Kuongeza Hamu ya Tendo (Libido), Na Kuwa Mwenye Afya Bora,
Uzi 🧵,
Repost Kwa Ajili ya Wengine (Bookmark itakusaidia Baadaye).