Tanzanian Journalist: Community Radio expert: International Freelancer: founder of OHIDE Tanzania (NGO) and Buha FM Radio based in Kasulu, Western Tanzania
Mamia wajitokeza uzinduzi wa Kampeni za CCM kitaifa, CCM Kigoma yawaunganisha wananchi na Dar es Salaam. Mgombea urais CCM Dkt Samia Suluhu Hasani ataja makubwa
Rais wa Burundi Mhe. @GeneralNeva ametangaza kiama kwa viongozi wa serikali wataokiuka maadili ya utawala bora na kutumia nafasi zao kuhujumu raia. Ametoa tahadhari huo wakati wa Sala ya kuombea chama cha CNDD-FDD mjini Gitega katika maadhimisho ya miaka 20. #cnddfddshimirwa
Chama Tawala nchini Burundi @CnddFdd chajivunia matokeo chanya katika nyanja mbalimbali kijamii, kiuchumi na kiusalama. Katibu mkuu Ndg. @R_Ndikuriyo ataja mafanikio makubwa kikiadhimisha miaka 20 tangu @CnddFdd iliposhika Hatamu kuongoza @Burundi 2005. @GeneralNeva Akipongeza
Kilichosababisha Warundi kuchukua Silaha na kuingia msituni kwa sasa hakipo, Nchi ilikuwa shimoni lakini sasa Burundi ni moja, na warundi ni wamoja, hakuna ukabila wala ubaguzi ndani ya vyama. Amesema Rais @GeneralNeva miaka 20 ya @CnddFdd mjini Kitega.
CHAMA TAWALA BURUNDI CNDD-FDD CHAADHIMISHA MIAKA 20 YA KUSHIKA HATAMU, VIONGOZI WAKUTANA KUTAFAKARI WALIKOTOKA NA HATUA WALIZOPIGA, RAIS @GeneralNeva APONGEZA NCHI KUSONGA MBELE. @CnddFdd
Boli linatembea Burundi, Egle Noir SC mabingwa wa Burundi 2025 wnapasha joto na Kasulu Combine kutoka mkoani Kigoma. Hakika boli litatembea katika kiwanja cha kisasa mkoani Makamba makao makuu ya @aiglenoircs. Kiwanja hiki ni somo kwa Simba na Yanga
SOKA KIMATIFA: Wakati wengine wakirumbana kucheza au kugoma, timu ya soka ya Kasulu Combine ipo nchini Burundi kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Egle Noir inayoshikilia ubingwa wa ligi kuu Burundi. Mtangane unapigwa Nkurunziza Peace Park Makamba
Waangalizi wa uchaguzi kutoka EU ysipongeza Burundi kwa kukomaa kodemkrasia, yakiri uchaguzi wa Madiwani na Ubunge ulikuwa huru na umezingatia sheria. Hayo yametolewa na Mwenyekiti wa watazamani wa EU Bw. VINCENT MERITON amebainisha hayo katika mkutano na waandoshi wa habari.
Mufti wa Burundi Salum Nayabagabo atumia ibada ya Eid el Adha kukipongeza chama cha @CnddFdd kwa kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa wabunge na madiwani. Katibu mkuu @R_Ndikuriyo awashukuru wananchi wa dini zote kwa ushirikiano. Matokeo rasmi kutangazwa wakati wowote
Waislam Burundi washerehekea sikukuu ya Eid el Adha, katibu mkuu @CnddFdd ndugu @R_Ndikuriyo mgeni rasmi kitaifa mjini Gitega, aahidi kusaidia kukuza uislamu. Rais wa Burundi @GeneralNeva atoa zawadi ya Ng'ombe na kondoo kwa waislmu kuchinja
Tumedhamiria kujenga nchi yetu kidemokrasia, tunataka Burundi ifikie uchumi wa kati ifikapo 2040. Wananchi wanadhamira hiyo kupitia karatasi ya kupigia kura. Anasema Katibu Mkuu wa Chama cha @CnddFdd ndugu @R_Ndikuriyo baada ya kupiga Kura mkoani Burunga
Maelfu ya Raia wa Burundi wajitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Wabunge na Madiwani. Amani yatawala. @GeneralNeva@R_Ndikuriyo wapongezwa kwa maandalizi mkoani Burunga (Makamba)
Waendesha Baiskeli nchini Burundi hutumia Magari magubwa kama nyenzo ya kupanda milima. Je! Licha ya kupata unafuu, Hii si hatari kwa usalama wao? Jadili, toa maoni. @RTNBurundi#UsafiriBurundi
Burundi yatangaza operesheni ya kutokomeza nyumba za nyasi kwa kuwataka wananchi kujenga nyumba bora zilizopangiliwa katika vijiji. Chama tawala chaanzisha mpango wa kujengea nyumba kaya zenye maisha ya ufukara. Kampeni 2025 #ToraNum1@GeneralNeva@R_Ndikuriyo
Burundi yapania kuwa nchi ya kipato cha kati kupitia kilimo, ufugaji na uanzishaji wa ushirika kwa ajili vijana na wanawake. Ni ahadi za uchaguzi za chama cha CNDD-FDD zinazotolewa na Rais Ndayishimiye @GeneralNeva na Katibu mkuu @R_Ndikuriyo
Kampeni za uchaguzi mkuu zapamba moto Burundi, Rais Everiste Ndayishimiye @GeneralNeva Reverien Ndikuriyo waongoza jopo la chama cha CNDD-FDD na wananchi katika mkutano mkubwa wa kampeni wenye kauli dira ya kukuza uchumi kupitia kilimo, ufugaji, biashara na utali. #ToraNum1
Burundi yaanzisha mpango wa SIASA NI KILIMO kwa kuhimiza kilimo cha Parachichi nchi nzima, tayari miche zaidi ya milioni 20 imepandwa katika mikoa mbalimbali. Katibu mkuu wa chama tawala CNDD-FDD @R_Ndikuriyo anasema sera ya 2025 ni kukuza uchumi wa kaya na taifa. #ToraNum1