Mchezo wa kirafiki kati ya Klabu ya Simba dhidi ya vigogo wa Azerbaijan, Zira FK FC umemalizika kwa sare ya 1-1 katika katika dimba la Bolu, Nchini Uturuki.
FT: SIMBA SC 🇹🇿 1-1 🇦🇿 ZIRA FC
⚽️ Kibu D
⚽️ Rustam
Bao la Simba SC limetiwa kimiani na Kibu Dennis kwa pasi ya Saido Ntibanzokiza kabla ya Rustam Ahmedzadeh kuisawazoshia Zira FK FC.
Simba SC ya Tanzania na Zira FK FC ya Azerbaijan wote wapo nchini Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2023/24.
Na. @JeremiahSulle
#KitengeSports
Nimesikia maneno ya baadhi watu wakidai kuwa Ligi ya Rwanda iko chini kwa viwango hivyo Simba hatukutakiwa kumchukua Onana
Haya ndo majibu yetu wana Lunyasiiiiiii