Jamaa wa kutumia Toothpaste ya T guard lazima wahakikishe wameongea kila kitu before saa tano ifike,juu ikipita hapo sasa mdomo ishaanza kunuka gumboot. Buana poverty will rob you even self esteem,tutafute pesa vijana
Sasa kitu inanipeanga hofu sana,ni siku hii mrembo inaitwa Eve maina itaamua kukua mjinga,ati inipatie chance. Apo nayo unajua itakua imenimalisa. Juu sasa nitaanzia wapi. Ule Mtoto unajua anaoganga na detol buana. Na ni kila siku. Siwezi itikia akae kasarani siku mbili akiamungu. Unajua Detol one litre ni three sausand? Kama ni kukula lazima akule fruits,na si mandizi tu,ni fruits kama grapes na apples. Apple moja ni 40 shillings. Uyu ataniua nakwambia
Sasa afanye makosa agonjekee kwangu. Huyu ata akipata darrhoea unajua lazima daktari wa familia atoke South Africa. Mimi nayeye hatufanani,mimi unajua ata siku nilipata typhoid juu ya kukula managu imemea kwa sewage nilimeza Mara moja nikapona. Huyu nikifanyia hivo naua. Nabaki nikipigana na baba yake kule milimani ameniwekelea kesi ya Manslaughter buana. The pain of wanting things you cant have is painful buana. Earth is hard!
Yaani Eric Omondi earns more than 57 million on Facebook and Instagram😳, Huku Twitter ukinunulia KOT Socha changaa liter Moja anachapa kazi nonstop for 1 week