We are excited to share that we launched the "Rafiki wa Mazingira Campaign" with the main objective of spreading climate education and planting 5000 trees in 7 Regions of Tanzania.
You are warmly welcome, lets join hands together in this incredible journey💚💚
Shukrani kwa mashirika @Determined_org@Aylftz#TyilAfrica yanayo nipa nafasi kufikia vijana wengi katika jamii yetu na watu wengi wenye mahitaji na kuzidi kujenga uwezo wangu kuongoza na kutatua changamoto kwenye jamii yetu
Kwenye safari moja huanzisha nyingine...
Nilivyofika chuo nikawa natafuta namna ya kuestablish miradi niliyokuwa nikifanya A-Level kuwa shirika Linalojiendesha
Situmekubaliana Safari moja huanzisha nyingine
Ehee..
Na mafanikio hayataki excuse ya aina yoyote
Sasa ngoja niwape ka story kafupi juu ya hizi fursa tunazozionaga mitandaoni au kwa wale ambao hatupati nafasi ya kuziona ngoja niwafungue kidogo leo
Cc @Determined_org
Inshort mlango mmoja ukifungwa ujue kuna sehemu kubwa zaidi Mungu kapitisha jina lako
Kunywa maji pumzika kesho amka na malengo yetu yakatimie kama tunavyotamani yawe ila zaidi mapenzi ya Mungu yatimizwe ❤️
Nawapenda #HumbleDreamer Wenu❤️
Situmekubaliana Safari moja huanzisha nyingine
Ehee..
Na mafanikio hayataki excuse ya aina yoyote
Sasa ngoja niwape ka story kafupi juu ya hizi fursa tunazozionaga mitandaoni au kwa wale ambao hatupati nafasi ya kuziona ngoja niwafungue kidogo leo
Cc @Determined_org
Thrilled to announce our partnership with TYIL Africa for the LeadSmart program! Empowering youth for a brighter future together. 🚀 #PartnershipGoals#EmpowerYouth#LeadSmart"
Say this every morning:
Isiah 54:17✨
No weapon formed against me shall prosper
Deutronomy 28:13✨
I am the head and not the tail.
Psalm 18:2✨
The lord is my rock, my fortress and my deliverer
I wish you all a beautiful and prosperous day 🙏🏽❤️