Visit Zanzibar: Huwezi kukamilisha ziara yako ya visiwa vya karafuu bila kuwaona vijana wapiga mbizi (divers) wa Forodhani.
Ikiwa ni sehemu mojawapo ya makakati wa Klabu ya Simba kutangaza utalii, tulipita Forodhani na kukutana na vijana hawa. Ukifika Zanzibar weka kwenye ratiba kuwaona vijana wapiga mbizi hawa. #UchumiWaBuluu #VisitZanzibar #WenyeNchi #NguvuMoja
Funchal is the capital and tourist centre of Madeira. A vibrant city, full of tradition and history, that expands from the Atlantic shore to the green and imponent mountains. Can you imagine yourself exploring a city like this?