@HabiibYahyaa Imeshasรจmwa sana kwamba baraza la ulinzi la umoja wa mataifa linatakiwa kufumuliwa na kuundwa upya, aliyepewa jukumu la kusimamia amani duniani ndiye amekua mwanzilishi wa vita duniani kila kona ya dunia,
@Maestrowafact Bey akipigwa mshale yeye hafi anakimbia nao ukiwa mgongoni, ila mafedhuri wakichomwa mshale wa kurusha na mkono wanakufa hapo hapo, ๐คฃ๐คฃ๐