#FinalCount
My final count of my four and a half years as Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Republic of Korea.
I have paid a visit to the Ministry of Foreign Affairs 43 times. I traveled and met 10 Governors of Provinces and Mayors of Cities across Korea, and done 15 media interviews. I visited 21 Universities and delivered 24 Lectures, and visited and talked with students in 11 schools. I have had 72 Lunch Meetings, 93 Dinner Meetings, and attended 9 Korean weddings.
To attend to all that, I made 52 KTX train trips and 65 flights within Korea. Overall, I had a total of 1,309 activities, 742 of which were meetings, 145 events, and the rest comprised of National Days, luncheons, and dinners.
In the course of four and a half years, I have received in Korea my President, Her Excellency @SuluhuSamia, our then Vice President, then Prime Minister, 17 Ministers, and 50 Senior Official visits. This resulted in 6 bilateral agreements and 24 MOUs signed, with 12 more in progress. All these translated into 2.5 billion USD of soft loans, over 20 million USD in ODA, and many business-to-business visits between the Tanzanian and Korean private sectors.
Globally, education ODA is shrinking and it is frightening. Developing countries are trying their best to increase domestic financing but crippled by the demographic bulge and the overall multitude of crises. International support is critical.
It is encouraging to see the National Assembly of the Republic of Korea is taking keen interest and remained concerned and engaged. I made a case yesterday alongside the Global Partnership for Education Secretariat for an increase in Korea Education ODA.
Korea is in a better position to understand the pinch of education financing crisis. Korea is the country that benefitted from Education ODA, and an example of how the investment in education can transform a nation.
I have developed an interest on seaweed industry as part of our Blue Economy strategy. Thanks to Ms. Chiwon Choi, CEO of the Seaweed Supermarket (https://t.co/zLAs9u8YdR) for her valuable insights on the business and the economy of seaweed.
Tanzania and South Korea holds great potential for collaboration on seaweed. Korea is the world's third producer of seaweed and Tanzania is the largest producer of seaweed in Africa. Already, KOICA is supporting a 3 years capacity building program for Seaweed development in Zanzibar, Tanzania.
Mapema leo jijini Dodoma, nilipoongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa.
Vikao hivi ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya chama kupata Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge wa Viti Maalum, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum; kabla ya uteuzi wa mwisho utakaofanywa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), na kisha kwenda kuomba ridhaa ya wananchi kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025.
Nimewapokea Profesa Said Shebe Aboud, Mkurugenzi Mkuu wa @NIMR_Tanzania na Dkt. Winfrida Benedict Kidima, Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba Asili @wizara_afyatz waliofika Ubalozini kusaidini kitabu cha wageni na kuwa na mkutano wa maandalizi ya ushiriki wao katika ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Taasisi ya Tiba Asili ya Korea (NIKOM).
Korea Kusini wamepiga hatua kubwa kwenye sekta ya Dawa za Asili. Soko la Madawa Asili la Korea linakadiriwa kuwa na thamani ya Dola za Kimarekani Bilioni 11. Dawa Asili hutumika sambamba na Dawa Mamboleo katika hospitali za Korea.
Tanzania ina utajiri mkubwa wa miti na mimea ya dawa za asili ambapo inakadiriwa kuwepo aina zaidi ya mimea 1,200 ya dawa. Kwa sasa utoaji wa dawa asili katika mfumo rasmi wa afya umeanza kwa majaribio katika hospitali za rufaa 7 nchini, na dawa aina 22 zimethibitishwa na kuanza majaribio.
I had a productive meeting with Dr. Youn, Young Mi, the new Chairperson of the Korea Importers Association (KOIMA) and CEO of Highland Foods Group.
Dr. Youn's insights were invaluable, and I am excited to work together to create stronger trade ties and unlock new opportunities for businesses between our countries.
Dr. Youn left me optimistic about the future of our trade relations. I look forward to continued collaboration with KOIMA during her tenure in office.
Mhe. Balozi @tonytogolani leo amekutana na Watanzania waishio Seoul ambao walikutana kwa ajili ya kuchagua Viongozi wao na kujadiliana fursa na changamoto wanazokumbana nazo.
Mhe. Balozi amewapongeza Viongozi wapya waliochaguliwa na kuwahakikishia ushirikiano.
"Mwenyezi Mungu daima hujibu maombi yetu na wakati mwingine huyajibu kwa kutokujibu. Kutojibiwa maombi yako ni jibu pia. Yaweza kuwa wakati wa kujibiwa haujafika, maombi yako hayajajitosheleza au ulichoomba hakina kheri nawe." ~ Togolani Mavura.
Ninawashukuru wanachama wenzangu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wote wa Dodoma kwa mapokezi makubwa katika ofisi za chama, baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakati utakapofika, tutakuja kwa wananchi kuzungumza nanyi na kuwaeleza yale tuliyofanya na tutakayofanya kwa miaka mitano ijayo, ili kuomba ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi yetu. Wito wangu kwenu, tuendelee kudumisha amani, umoja na mshikamano ili tuhakikishe ushindi wa kishindo kwa chama chetu na kuendelea kuwatumikia vyema wananchi kama yalivyo matarajio yao.
Kazi na Utu. Tunasonga Mbele.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatoa pole kwa familia, wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi, watumishi wa Bunge na Wabunge wote aliotumikia nao akiwa Spika wa Bunge letu, wananchi wa Kongwa, ndugu jamaa na marafiki.
Tuungane pamoja kumuombea kwa Mwenyezi Mungu na kuwaombea familia, ndugu, jamaa na marafiki uvumilivu, faraja na moyo wa ibada katika kipindi hiki kigumu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.
"Ndege wote wana mabawa lakini si wote wanaruka, wanaoruka si wote wanapaa, hata wanaopaa si wote wanaopaa katika masafa mamoja, wako wanaoruka juu sana kama tai na wanaoruka chinichini kama chiriku. Tumeumbwa sawa lakini kwa malengo tofauti hapa duniani. Tufurahie tofauti zetu!"
@TogolaniMavura Congratulations! Hon.Ambassador Togolan for such achievements and milestones between two sisters' countries.
We look forward to the next step.
📍Ikulu, Chamwino
🇹🇿🇰🇷
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Eun-Jae Lee, Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (K-FINCO) aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.
📸 | IKULU
Julai 25 kila mwaka ni siku muhimu kwa Taifa letu, Siku ya Mashujaa, ambapo tunaungana kuwakumbuka na kuwashukuru wale wote waliotoa maisha yao kupigania uhuru na kulinda amani na heshima ya nchi yetu. Tunaendelea kuwaombea wapumzike kwa amani.
Tunapowaenzi mashujaa wetu, sote kwa pamoja tuendelee kukumbuka pia wajibu wetu wa kubaki kuwa wazalendo kwa nchi yetu, kulinda uhuru, amani, utulivu na mshikamano waliotuachia wale waliotutangulia, huku tukifanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya Taifa letu.
Ubalozi wa Tanzania, Seoul kwa kushirikiana na Bodi ya Wakandarasi (CRB) jana Julai 18, 2025 umeandaa “Networking Seminar” Iliyolenga kukutanisha wadau wa sekta ya ujenzi wa Tanzania na Korea ili kubadilishana uzoefu na kujadiliana fursa za ushirikiano.
"Huwezi kuwa unasonga mbele kama hawapo unaowaacha nyuma wala hawapo unaowapita mbele yako. Ukigeuka nyuma na usione wanaokukimbiza ujue wewe ndio wa mwisho. Ukitazama mbele usione wa kuwakimbiza ujue mwisho wako umekaribia. Nafasi zote hizi mbili ni hatari kwa ustawi wako."
"Kukikucha wanaamka wema na waovu, waadilifu na wahalifu, werevu na wapumbavu, matajiri na maskini. Ili maisha yaende, tunapaswa kuamka wote kwa pamoja ili maisha yaweze kuwa na maana na msawazo. Tungekuwa tunaamshwa kwa zamu ingekuwaje? Tuvumiliane tu maana tunahitajiana."