@BestaMlagila@Peterhumbo1 Mimi Ni Mwana Ccm Mwenzako, Nikushauri Jambo Kuhusu Huyu Mgombea M4c.Tuwa Attack Kila Kona Lakini Sio Kumpost Vle Alivo Maana Nae Hakupenda Kuwa Vle
Hujafa Hujaumbika
Sasa basi Tukutane 28/10/2020
Kwenye Sanduku
Mitano Mingine Kwa JPM
Kazi Iendelee.