Kesho taifa stars jumanne itashuka dimbani kuminyana na GUINEA katika kufuzu michuano ya Africa katika ngazi ya taifa itakayochezwa nchin Morocco 2025
Ikumbukwe katika mchezo uliopita kati ya TANZANIA vs ETHIOPIA walitoka sale ya pasipo kufungana 0-0
Tanzania kesho inakibarua
Basi miamba hawa wawili wakakutana bana
Wakafurahi pamoja story ya champions ligi sasa ikaanzishwa ππ hapo ndipo kicheko kikatawala zaidiπ
@realclatouschama @pacom._zouzoua
https://t.co/kVqPNXCF9c