@privaldinho Kawacrop Kwa sababu nyie ni utopolo Tu washika mikia kila mahali zinapokutana Timu kubwa🤣🤣 usipo mheshimu ww Mr mwanya wa juu tutamheshimu ss mashabiki wa mnyama🤣🤣. UGUA POLE🛌
@privaldinho Kwahyo wachambuzi wachambue Ngoma 🤣🤣🤣 dah! Everyone is Wise until they speak 🤣🤣 Kaka Kwa akili zako huwezi kwahyo kutetea kazi na kujitengenezea heshima yako uwe unaomba ushauri Kwa watu unaowaamini kabla hujapost chochote mitandaoni. UNAPUYANGA SANA😢 @privaldinho