🏅 Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month) mwezi Aprili ni;
👤 Shomari Kapombe
👤 Inonga Henock
👤 Joash Onyango
Tembelea tovuti yetu ya https://t.co/eLCcdL5LML ili kupiga kura. #NguvuMoja