Wapendwa leo ni siku ya mfanano ya kuzaliwa kwake Mdau wa Media, Mirium Aboubakary, tumtakie kila la heri na Mwenyezi Mungu atubariki Aminaππππππππππππππ.
Ni uhuzuni kwa kifo cha Jonsoni Mchukya maarufu (Kongo),kilichotokea leo akiwa Kituo cha Afya Rwantegeπππππππππππππ.
@TBConlineTZ wa Muleba Kagera Tz Taabu Zangu wimbo wake Annastazia Mukabwa vs Muhando ndo chaguo langu waburudike Ombeni Eliewaha, Fikiri Dario Gakala na Mage Mbiseπππππππππππππππ.
Ni wiki mbili sasa azaliwe Dativa Atugonza Philbert kituo cha afya Nshamba, namshukuru Mwenyezi Mungu tumtakie kila la heriππππππππππππππππ.