Katika mahusiano.
• Mwanamume ndiye anayeamua kama atamuoamwanamke fulani au hapana.
• Mwanamke ndie anaeamua kama sex litafanyika au la.
• Mwanamume anahitaji zaidi sex
• Mwanamke ana njaa zaidi na mahusiano ya kimalengo au ndoa.
• Wote wawili hutumia nguvu hizo kama silaha, na kila mmoja anaweza kuumizwa na makali ya mwenzake.
Game ni ngumu lakini tunasongesha na ni maisha.
NB.
Kuna kundi kubwa la wanawake lina emmerge ambalo halitaki ndoa wala sex.
Linahitaji pesa au huduma ili upate sex.
Maisha yenye maana hujengwa kupitia chaguzi za kila siku na si nyakati za bahati.
Maamuzi madogo unayofanya leo huwa msingi wa mustakabali wako.
Usipuuze kamwe nguvu ya kufanya jambo sahihi mara kwa mara.
Mtu anikopeshe 260,000 aje abebe kabati la milango miwili
Kumekuchaaaa sasa
Naomba oda na mje kununua
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe
1. Jiondoe sehemu ambazo uheshimiwi.
2. Usilazimishe kukubalika na kila mtu.
3. Jijenge kiasi kwamba uwepo wako uongeze thamani popote ulipo.
4. Kuwa na mipaka inayolinda muda, nguvu na amani yako.
5. Jifunze kusema HAPANA bila kujitetea kupita kiasi.
6. Jifunze kukataliwa si kila kukataliwa kunamaanisha huna thamani.
7. Chagua watu wanaoheshimu thamani yako na wanaochangia ukuaji wako.