We are a Multi-Agribusiness Company, we do Agribusiness Development and Consultancy, providing ultimate classic Agribusiness Solutions from farm to the market.
Tukutane Leo Tarehe: 28/01/2025 saa 11:00 Jioni kwa njia ya mtandao kwenye mada ya: *Kufungua Fursa ndani ya Kilimo Kwa Kizazi Kijacho!*
Karibu ujiandikishe kushiriki nasi kupitia hapa👉 <https://t.co/NWxepIw9Yz >.
*New Year, New Agribusiness Opportunities Await!*
As we embark on a fresh start in 2025, Mrutu Agro Solutions Company Limited is here to open doors to exciting prospects in the world of agribusiness.
🤝Join our WhatsApp channel: https://t.co/hT98H0KTvO
📈Unlocking Your Path...
https://t.co/El5jzmHmcT
*Habari wadau wa Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali!
Uongozi wa kampuni ya Mrutu Agro-Solutions Company Limited unakualika katika kujaza dodoso la taarifa za wadau wa Kilimo Biashara, Ufugaji na Ujasiriamali ili kuweza kutengeneza takwimu za wadau...
Benki ya maendeleo ya kilimo @tadbtz kushirikiana na @Exim_BankTZ leo Mei 16, 2024 kwa pamoja zimesaini makubaliano ya kutoa dhamana ya shilingi bilioni 30 kwa wazalishaji katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi nchini kwa kipindi cha miaka 5. #TADB🇹🇿
Thanks to God for this new role of becoming ambassador of African Food and Agriculture Systems through African Food Change Makers(AFC).
I feel very honoured to take this position for transforming Agriculture in Africa to be more resilient & sustainable to feed the world🌎.
@#AFC
Leo tarehe 10/03/2024, Mrutu Agro Solutions Company Limited inatimiza miaka mi 3 tangu kusajiliwa kwake mnano tarehe 10/03/2021.
Kwa Neema ya Mungu tunawashukuru sana wateja wetu.
_Happy birthday to Mrutu Agro Solutions Company Limited 🎂🎂🎂_
https://t.co/ioBqk7k6JP
https://t.co/Wk38z39WRK
Karibu! jisajili kushiriki Jukwaa la Wajasirikilimo, Teknolojia, Masoko, Mazingira na Ufunguzi wa Smart Agripreneurship Innovation Centre na kusherehekea Miaka mi 3 ya Kampuni ya Mrutu Agro Solutions https://t.co/kBHv9NzuoC tarehe 8-10 march, Savoy H.
I am very humbled and thankful for being Officially invited to serve as an African Food And Agriculture Change Makers Ambassador at @AfricanFoodCha1 from 1st March 2024. I am kindly asking your continued support and prayers for this new role of transforming Agribusiness