Simu Mpya Original & Used pia Aina zote zinapatikana kwa bei nafuu..
Iphones✅Samsung✅Infinix✅Oppo✅Redmi✅Nokia✅Huawei✅Vivo✅Itel✅Pocco✅Google pixels✅.... Dukani kwetu Kariakoo kwenye Ghorofa la infinix mtaa wa Uhuru & Msimbazi
☎️ 062 840 9221
Whatssap:☎️ 0687693136
Uchumi ukishuka, shuka nao, change things, usilazimishe ku maintain same life style, tayari una stress za uchumi, usiongeze nyingine, cheza chini, jipange upya.
Epuka mtego wa madeni, utavunja hadhi na uaminifu kwa watu wanakuamini.
kiukweli mm simba ila huyu @mudathiryahya27 tangu msimu uliopita ndio kiungo bora wa Tz jamaa anaupiga mno duh..! @SimbaSCTanzania sijui kwanini hatukuchukua huyu mtu.