Wiki chache zilizopita, tuliingia kwenye mpangilio mpya wa dunia baada ya kupitishwa kwa hati ya kidijitali ya kimataifa na nchi 193, zote zilikubaliana kuingia katika anga ya kidijitali, moja ya sababu kwanini Pi Network ilibadilisha vikwazo vyake.
#PiNetwork#UN."
@HildaNewton21 Kwaiyo nyie swala la passport size sio lazima!! Kadi imekaa kichafuuchafu sababu hamzingatii vitu vya maana. Sasa iyo n kadi au ni bango la mganga? Mmezingua, tatizo lenu wajuaji lkn vitu vidogo hamuelewi. Ntamwambiaje mwanangu hii ni kadi ya siasa!!?
Wakuu msije mkajichanganya mkajiunga na @YasTanzania_ bima mtajuta. Ninadai madai mwezi wa tatu saiv napigwa kiswahili. Bora @VodacomTanzania bima yao chap...
#ScamAlert#fraud achaneni na wahuni
PiFest is back! Pioneer merchants and shoppers are once again called to celebrate the use of Pi in local commerce globally, this time using a Pioneer-built PiOS app to discover and connect. Merchants can register their stores now using Map of Pi