I’ll be attending Business of Conservation Conference #BCC2026 in Nairobi 🇰🇪. Looking forward to conversations on conservation finance, impact, and community voices.
If you’re attending too, say hi.
#Kenya#WildlifeConservation#ClimateAction
Katika tukio la kipekee, tunakukutanisha na binti wa Kitanzania Theresia Pascas Seda ambaye aliandika historia alipokutana uso kwa uso na aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Hayati Papa Francis, na kupata nafasi adimu ya kumuombea mbele ya hadhira ya kimataifa mjini Vatican.
Kupitia video iliyorushwa kwenye ukurasa wa YouTube wa mpiga picha mashuhuri nchini Tanzania, Imani @nsamila, binti huyo anaelezea hisia zake kwa upole na heshima, akisema tukio hilo lilikuwa kama ndoto iliyotimia — "siku ya baraka ya kipekee ambayo haitasahaulika."
Katika tukio hilo, binti Theresia ambaye alikuwa sehemu ya ujumbe rasmi wa Tanzania nchini Vatican ulioongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 11 na 12 Februari 2024, alipewa nafasi ya kusali kwa ajili ya Papa Francis, jambo ambalo limewagusa wengi, na kuwa ishara ya heshima kubwa kwa Tanzania na kwa vijana wa Kiafrika wanaochipuka na kuwa sauti ya matumaini duniani.
Akiwa amevaa mavazi ya heshima yanayoashiria utulivu wa kiroho, na akizungumza kwa unyenyekevu, aliwakilisha si tu imani yake ya kidini, bali pia maadili na utamaduni wa Mtanzania.
Kwa simulizi kamili: https://t.co/0xTT2MKjC1
#Saa24
#Simulizi
#PichaYaSiku : @JMakamba akifurahia jambo na mwananchi huko Geita.
Msaidizi huyo wa Rais Samia Suluhu kwenye sekta ya nishati, anafanya ziara ya siku 21 kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania.
#MamaAnafanikisha
cc: @nsamila
"Kipindi naingia wizarani mwaka Jana mwezi wa tisa 2021 kulikuwa na Maombi ya Umeme 120,000 hii ilitufanya Tuweke mipango thabiti kukabiliana na Maombi hayo Mpaka sasa ni Maombi 30,000 tu ndo yamebaki hii ni kipindi Cha miezi Kumi tu nikiwa wizarani"
Waziri @JMakamba akiwa Geita
Gaudencia Daniel (18) aliomba kuongea kwenye mkutano wa mazingira katika Kijiji cha Nyamirende, Geita, alipopewa
akasema “Mhe, ninahitaji kujua kusoma na kuandika, nimechelewa kusoma nisaidie” huku machozi yakimtoka akamkumbatia.
@JMakamba:Hujachelewa tutakusaidia.
📸 @Nsamila
Happy Birthday my dearest brother @JMakamba - May the new year usher new wisdom and blessings your way. May our Almighty continue to guide, protect and bless you abundantly. I celebrate you today and always ! Happy birthday @JMakamba
Happiest of birthdays to my oga at the top, my brother @JMakamba may The Almighty continue to protect you, guide you and bless you abundantly! Thank you for all that you have been and continue to be. We are extremely grateful to you and love you very much. 🎈🎊⚡️
Waziri wa @Nishati2017, Mhe. @JMakamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Trilioni 1. 4 uliopo wilayani Makete Mkoani Njombe ili kuwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha kutoka vyanzo mbalimbali vya nishati.
This weekend in Köln 🇩🇪🤩🌏
“We’re thrilled to welcome Imani Nsamila @nsamila photographer and videographer from #Tanzania, as our special guest.
His photo exhibition entitled Climate Change in East Africa: Struggle, Resilience, Solutions will be on display at the Allerweltshaus @allerweltshauskoeln from 1-9pm on Saturday and from 11am to 7pm on Sunday, so you’ll have the chance to meet and greet Imani.
On Sunday at 12pm, Imani will give a talk on his journey and insights on using visual storytelling to highlight climate change and inspire action.
Location:📍
Allerweltshaus Köln Ehrenfeld
Geisselstraße 3-5, 50823 Köln
Time to visit the exhibition:
🗓️ Saturday, December 7: 1-9 PM
🗓️ Sunday, December 8: 11 AM-7 PM
🎤 Presentation by Imani Nsamila:
🗓️ Sunday, December 8: 12 PM
We’re looking forward to seeing you there!”— Allerweltshaus Köln and Pambazuka Swahili Kultur
#ClimateChange #Köln #Germany #Africa #PichaZaNsamila #climateAction #Cologne
I recently had an opportunity to travel to Nosybe Island, Madagascar. I managed to document two great stories. The first focused on the Ylang Ylang plant, which you may not recognize by name but is a crucial ingredient in expensive luxury perfumes like Chanel No. 5 and Dior. This flower has become the backbone of many people’s livelihoods on the island.
The second story was about endangered lemurs (a type of primate). These unique creatures face serious threats from climate change, deforestation, and human activity. I hope my work will raise awareness and inspire people to support environmental #conservation. 🤗 🐒 🌿
#nature #naturephotography #madagascar #documentary #travel #travelblogger #lemur #ylangylang #essentialoils #perfume #PichaZaNsamila #fragrance #ClimateChange #NisyBeIsland
👋 Quick one! I’m working on a project and looking for a travel content creator to join my team. We'll be capturing the beauty of Uluguru Mountains and Hululu Waterfalls.💦⛰️ Available to travel to #Morogoro this Tuesday to Thursday? Costs covered! If you're interested, reach out to me in my DMs! 🌅🌳