Mwanangu Magesa alikuwa na shida ya tumbo. Awali aliambiwa ana vidonda vya tumbo.
Kuna nyakati tumbo likimshika alikuwa hawezi hata kutembea.
Siku moja alizidiwa. Tukakimbia hosp.
Niliitwa pembeni Daktari akaniuliza: "Magesa ni nani yako?" Nikamjenga!
🧵🧵
@drmlalukoMD Kuna mwana alipewa patient mweny still birth wakiwa tayr wameinduce labor janja anashika fetoscope akana na 142 bmp wahuni wakamla sup hapo hapo