Hukumu Za Papo Kwa Papo||
Co-Founder at Ojanto Vintage Enterprise
|| @LFC #YNWA
|| Prisons Sport Club fans
||Certificate Of Reuters Digital Journalist 2023
Huja wakati Kwenye maisha ina tubidi tuupe muda nafasi..
1. Wanao kuchukia wape muda
2. Wanao kupenda wape muda
3. Wanao kusifia wape muda
4. Wanao kucheka wape muda
Siku zote muda ni mwalimu mzuri.
Endelea kusafirisha mizigo yako kwa kutumia #BajabirLogistics kutokea Dar kwenda mikoa mbalimbali na nchi jirani.
๐Kinondoni Road Opp Phantom Filling Station โฝ๏ธ
Tupigie โ๏ธ 0672 808 100
โ๏ธ 0799 318 100
Tunasafirisha Parcels na mizigo mikubwa .
Tunafanya kazi na makampuni
Yule rafiki yako wa shule ya msingi ambae mlikua mnatoka wote mapumziko ya saa nne asubuh mnaenda nunua visheti,mihogo,bumunda na sambusa alikua anaitwa nani??๐ ๐
Na bado mnawasiliana nae??๐ค
February 13 kila mwaka ni siku ya kimataifa ya Condoms, siku hii huadhimishwa siku moja kabla ya siku ya Valentines.
Lengo ni kuhimiza matumizi ya Condoms ikiwa njia ya kujikinga na maambukizi ya UKIMWI na mimba zisizo tarajiwa.
Kuweni makini
Aisee kiwepes sana na sikuwasiliana na mtu yeyote labda apate maelekezo hakuna nikimaliza NIKIMALIZA SAFARI LAZIMA NIMPIGIE NIJUE NI NINI KIMEMFANYA AWE VILE TOFAUTI NA JANA
@Adventure_36@munyamambogo
Sijui ni nini viranja wa barabarani wamefikiria leo mida ya saa 6 mchana nimeenda kulimaliza zoezi langu la jana ofic ya RTO nikaulizi msaidizi wa RTO namkuta nikaambiwa yupo kwenye kikao na hawajui atatoka muda gani nikasema kwakuwa sijasain pahala popote
Kwa usumbufu wa jana naona umekuja kama ulivokuja jana umejawa ustaarabu lesen yako hii hapa haina hata kosa moja nikabaki nashangaa nini hiki kwan nin tatzo akaniambia nenda tu kaka hakuna shida nimeondoka pale mpaka muda huu sijajua ni nini kinaendelea