@millardayo Vijana gani hao ambao mmewapa mtaji??ni tanzania au malawi maana vijana wa tanzania mitaji tunatafuta wenyewe na bado halmashauri na tra kila siku wanafanya fujo kwenye hiyo hiyo mitaji midogo tunayoitafuta kwa shida.daaa hiii kweli tz
@ercurryTz Anao na mama yake anaishi nae kwake na kifupi hata wao wanamuombea Mungu kazi yake uzidi kukua ili wapate kula hayo mengine Kila mtu na kabuli lake.