Kocha wa Makipa Simba Sports Club Muharami Said Mohamedi (40) na Kambi Zuberi Mmiliki wa Cambiasso Sports Academy Kigamboni ni miongoni mwa Watuhumiwa 11 waliokamatwa na Mamlaka ya Dawa za kulevya Tanzania baada ya kukutwa na dawa za kulevya zikiwemo heroine. #MillardAyoBREAKING