#Jenga tabiai ya kuheshimu/ kutegemea Thamani ya kitu au mtu ; yeyote wakàtì wowote itakusadia; Nafasi au cheo cha aina yeyote kinaweza kuondolelewa; lakini Utu na ubinadaŋu utabaki ukikuhukumu hadi dakika ya mwisho ukikata toho ;Tenɖa haki #Tujifunze kwa waliotuangulia.!
#Mtu yeyote aliyemwacha mwenzi wake wa Ndoa ;#Kwa sababu yeyote wakàtì yuko hai; waliyekula nàye #kiapo juu madhabahu ya Muŋgu wa Utatu na kuchukua/chukuliwa na mwingine ; #anapoteza uhàlali ufàlme mbinguni na duniani.
Kuna tofauti kati ya Neema ya Bwana wetu Yesu, ambayo Mtume Paulo aliyomuandikia Tito 2:11-14; tuliyoimba zamani; na hii ya siku hizi iliyojaa ghiliba na utapeli usiolitumia kwa na haki Neno ;kama alivyofanya.!
#Aliposhuka mlimani walimkimbilia mwenye ukoma wakatakasika. aliposhuka kwa akida mtoto wake aliyepooza, akawatandika;naye pia akaponywa! Hata walipomtesa mama mkwe wake Petro Yesu akamgusa mkono tu homa #ikatoweka.
#Limakipandechako
Sadaka ya Yesu Kristo ndiyo iliyo bora zaidi sdaka nyingine zote tutoazo hufanya kazi chini yake; tunapokea msaada kwa Neema kwenye sadaka hiyo; si kwa lazima bali kwà moyo wa kupenda
#Malizamstariwako
Basi wakuu wa makuhani na Wayahudi akamwambia Pilato, Usiandike, Mfalme wa Wayahudi; bali ya kwamba yule alisema, Mimi ni mfalme wa Wayahudi . Pilato akajibu; Niliyoandika nimeyaandika.
YOH 19: 21-22.
Dini; dhehebu Kanisa lisilonipeleka mbinguni mimi sititaki Yesu asiyenipeleka kwenye kiti cha Enzi àlipoketi Baba wa Milele aliye na Roho ya Umiele AChana nae!
Sababu kuu ya kutembea na tabia hizi mpya wakati Unaimba Wimbo Mpya ni:kwa sababu tu umefanyika kiumbe kipya ambacho umemruhusu Bwana Yesú akutawale kwa faida yako upate zawadi ya uzima wa milele
#Limakipandechako
Ndani ya Sadaka Ya Yesu Kristo; kuna kila kitu; ikiwemo shukrani; kwa kazi; ya Utume wetu; mengine ni Wizi na Usanii mtupu !
#Malizamstariwak0
#Sisi ni Vyombo tu nyumbani mwa.Bwana;; Je ndani ya Nyumba hakuna vyombo vya aina mbalimbali ? vingine vya udongo vingine vya chuma na dhahabu ; shaba na vingine vya plastic Tufanye kazi ya Mungu wa Utatu kwa umoja; pamoja ; Kila mtu ni dinari 'mojà! #Sisi ni Vyombo tu !
Mtume Paulo ameeleza jambo hili katika barua zake nyingi hasa zile alizoziandika kwà mtu mmoja mmoja akitaka afanye bidii ndani ya Kristo Yesu kuitafuta taji hii ya watakatifu walioshwa kwa damu isiyoharibika
Katika lmani ya Kikristo juu ya madhabahu ya Mungu wa Utatu usikubali shetani akudhalilishe kirahisi.
Mkabidhi Bwana Yèsu njia zako, atanyoosha mapito yako ungali unapumua !
#Limakipandechako
kiwaryaPiusJPLema
#MalizaMstariwako
,#Limakipandechako
Nenda naye mwendo wa mapigo kumi. akikataa kukuachia ili ukamtumikie Mungu Usikubali Fedheha tena Endelea kumfadhaisha
anayekurudisha nyuma iwe ni kazi masomo, biashara Ndoa Familia; huduma na hata Ujana wako.
#Malizamstariwako
#Limakipandechako
Kama alivyoliondoa jiwe Kaburini ili Bwanà Yesu atoke kutuletea wokovu tukamtumikie kwa furaha ndivyo Mfalme wa Mbinguni alivyoshughulika na farao ili wànà wa lsrael watoke utumwani Misri wakamtumikie; kwa furaha. Nawe fanya hivyo hivyo!
#Malizamstariwako
#Limakipandechako
Kama alivyoliondoa jiwe Kaburini ili Bwanà Yesu atoke kutuletea wokovu tukamtumikie kwa furaha ndivyo Mfalme wa Mbinguni alivyoshughulika na farao ili wànà wa lsrael watoke utumwani Misri wakamtumikie; kwa furaha. Nawe fanya hivyo hivyo!
#Malizamstariwako