Matajiri wanashida zao. Kijanaa wa 25yrs alichukua range ya mzae na mita moja akaingia nayo summertides, amerudi jana bila hata shilingi. Kugombezwa kidogo na mamake babake amemlipia flight aende yuwes immediately atarudi mamake hasira zikishukaa, Nyali iko na mambo.