Kanuni Yetu Ni Moja Tu...βπΌ
"UKIFANIKIWA Usibadili Mwanamke. Ila Badilisha Maisha Ya MWANAMKE Aliyekuombea DUA ili UFANIKIWE Wakati Ambao Haukuwa Na KITU.!"ππ½
"DUNIA Ilibeba WAZURI Wengi. Kwenye Hao Wengi Haukuwepo Wewe..
Ulikuwa Ni Mwanamke Wa PEKEE.!"
Endelea Kupumzika Kwa AMANI Mke Wangu..ππ½
NAKUPENDA β€οΈπ₯°