‼️MHADHIRI CHUO KIKUU ANYIMWA DHAMANA KWA TUHUMA ZA MAANDAMANO!‼️
Kama wewe ni mhadhiri wa Idara ya Political Sciences katika Chuo Kikuu chochote Tanzania iwe unajadili na wanafunzi juu ya matukio au mambo ya siasa za nchi nyingine tu lakini sio mambo ya Tanzania kwani unaweza kuswekwa lupango wakati wowote ukanyimwa dhamana.
Hayo yamemkuta Kaijage, nshomile mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Inaelezwa kuwa maoni yake pia kuhusu mambo yanayoendelea nchini kwetu yamechukuliwa kuwa kuchochea maandamano.
Lakini mmoja wa jirani zake amenijulisha haya:
"Lakini huyu mwalimu [mhadhiri] pia ana mtoto mlemavu anayehitaji uangalizi maalum wa kila wakati"!
Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kwa idara zote za Political Sciences, wahadhiri wote wa vyuo vikuu vyote nchini kuungana ili kumpazia sauti mwenzao. Kinachoendelea nchini sasa ni shambulio dhidi ya taaluma na fikra katika vyuo vikuu vyote nchini. Kama maprofesa hawawezi kuwa huru kutoa fikra zao tutakuwa taifa mfu!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 19 Julai 2026; Saa 9:50 alasiri
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 9
Anaendele Mhe. Lissu
Kifungu cha 263(3)(5) kinanipa haki ya kusema na nitakayosema yote uyaandike na uyasome kwangu ni muhimu kwasababu kwa kesi kama hii kubwa kuliko zote Tanzania.
Ambayo adhabu yake ni adhabu ya kifo kwa kesi ya aina hii,
Anasimama Katuga hapa anasema Mhehsimiwa kifungu namna anavyokitafsiri ni tofauti na maana yake. Hapaswi kusema kila kitu, yeye aseme ni kweli au sio kweli?
Tundu Lissu anasema huyu Wakili wa serikali tumemvumilia sana kasema yakwake. Sasa muda huu anisubiri na mimi niseme yakwangu. Anivumilie na awe mtulivu kabisa.
Hakimu anasema ntuhumiwa unapaswa kwenda direct. Lissu anasema hapana siwezi kwenda huko
Kwanza naomba niendelee na nipewe muda.
Jambo la kwanza nataka kusema kuhusu mimi. Masuala ya character ni muhimu sana kwasababu ni maswala relevant to the charge.
Jina langu ni TUNDU ANTIPHAS MUGH'AI LISSU. nimezaliwa Mahambe Ikungi Singida 20/01/1968. Nina miaka 57 ni mtoto wa Saba kati ya watoto 10.
Nilipata elimu ya msingi Mahambe.
Amesimama Katuga anasema mheshimiwa asiende kwa style hiyo asiseme mambo ya amesoma wapi?
Mheshimiwa anasema Lissu asome hati ya mashitaka
Amesoma yote.
Lissu anasema Mhehsimiwa Hakimu unapswa kulinda haki yangu ya kusema. Inakuwaje hawa wameongea yote kuanzia asubuhi hadi sasa hivi wamekaa siku zaidi ya 100 wanaandaaa haya makaratasi. Na wewe ulinde hiyo haki yangu sitakubali kabisa kwenye jambo hilo.
Nimesoma Ilboru, Galanos, nilienda kwa mujibu wa sheria JKT 1989/1990. Baaada ya JKT nilitakiwa kwenda kusoma chuo kikuu 1990 kutokana na mgomo wa wanafunzi kwahiyo nilifanya kazi shule ya sekondari Bondeni arusha.
1991 nilisoma kitivo cha sheria shahada ya kwanza pale UDSM.
Nilimaliza UDSM na kumaliza November 1994 na kuzawadiwa shahada ya sheria ya heshima. Honours degree. Mimi ndie niliyekuwa mwanafunzi bora wa sheria wa mwaka wa 3 pale UDSM.
Nilipograduate nilipata scholarship kwenda kusoma nje kutoka Serikali ya Wingereza, Mwaka 1995 hadi 1996 nilipata distinction na ndoto zangu nilikuwa nataka kurudi UDSM kufundisha sheria ilikuwa ni ndoto yangu siku zote.
Nilipata kazi LEAT ya Dar es salaam mwaka 1998 kama mtafiti wa masuala ya mazingira na haki za binadamu hadi mwaka 1999.
Nilipata kazi world resources institute (Taasisi ya Rasilimali za Dunia)
Nilifanya kazi WRI kwa miaka 3 na 2002 nilirudi Tanzania.
June 2003 nilipata uwakili wa mahakama kuu za Tanzania na chini yake. Nimekuwa Wakili wa nchi hii namba yangu ni 945.
Ni muhimu kuelewa maisha yangu ya ajira kwasababu yana uhusiano na kesi hii maana nimesikia wanasema kuhusu siasa zangu.
Katika maisha yangu yote nimekuwa mwanaharakati wa kisiasa. Na mwanahatakat wa haki za binadamu. Kwenye siasa mimi nilipiga kura kwa mara ya kwanza 1985 nikiwa kidato cha 5.
Kabla sijaenda chuo kikuu nilienda jeshini na majeshi yalikuwa ya CCM. Na mimi nikiwa jeshini nilikataa utaratibu wa majeshi kuwa ni mali ya CCM.
HAKIMU anauliza hiyo ni relevant Lissu anamjibu kuwa hiyo ni Character na ni muhimu sana urekodi.
Nayasema haya ili ujue mimi ni mtu gani yuko mbele yako. Nilianza harakati zangu jeshini sio tu huku mtaani.
Mwaka 1995 nikiwa mwanafunzi wingereza nilirudi nyumbani kuja kugombea ubunge singida kusini miaka ile. Nilikuwa mgombea ubunge kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na baadae nilirudi shule.
Naomba kusema kuhusu Chadema, nilijunga Chadema 2004 July na nilipojiunga niliteuliwa kuwa mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu. Na kwasababu nilikuwa wakili uchaguzi wa 2005 nilikuwa wakili wa wagombea wote wa Chadema walioshitakiwa kwenye uchaguzi.
Kwahiyo kwenye haya masuala ya Uchaguzi nina historia ndefu sana.
2010 nilichaguliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya Chadema. Na nilikuwa mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.
Part 10, itaendelea post inayofuata.
Naomba Repost yako.
@Roma_Mkatoliki Kwa wakati huo Mungu hakuwa ameweka bado sheria ya ndoa za ukoo wa karibu (ambayo ilikuja baadaye kupitia Musa – Law. 18). Kwa hiyo, hakukuwa na “watu wengine kabla ya Adamu na Eva” wala “mke mwingine aliyeitwa Lilith.” Hizo ni hadithi tu zisizo na msingi wa Maandiko.
@Roma_Mkatoliki Biblia iko wazi kwamba Adamu na Eva ndio watu wa kwanza (Mwa. 1:27; 1 Wakorintho 15:45). Waliwazaa Kaini, Abeli, Sethi, na “wana na binti wengine” (Mwa. 5:4). Hivyo, Kaini alipomwua Abeli na kuondoka, tayari kulikuwa na dada zake na ndugu zake. Kaini alimwoa dada yake
@MalemboLE 3. Kutoa Heshima kwa Uwepo wa Mungu
Ingawa tunamwomba Mungu popote,
“Wale ambao wanakuja mbele za Mungu lazima wafanye hivyo kwa unyenyekevu mtakatifu, wakimtambua kikamilifu Mwenye Enzi wa mbinguni”
@MalemboLE 2. Ishara ya Heshima na Unyenyekevu
Kufumba macho ni ishara ya heshima na unyenyekevu mbele za Mungu. Tunapokuwa katika uwepo Wake, tunajikabidhi kikamilifu kwa utawala Wake. Ni kama tunavyoinama au kupiga magoti ili kuonyesha unyenyekevu.
@MalemboLE 1. Kuelekeza mawazo kwa Mungu
Kufumba macho husaidia kuondoa usumbufu wa vitu vya nje na kutuwezesha kuzingatia maombi yetu na uhusiano wetu na Mungu. Inatupa nafasi ya kuzingatia kikamilifu kile tunachomwambia Mungu bila kuvurugwa na mazingira yetu.
@EduTalkTz Na kwa faida ya mwanadamu, lazima uwepo wa Shetani uendelezwe. Lazima mwanadamu pamoja na malaika waone ukinzani uliopo kati ya Mfalme wa nuru na mfalme wa giza. Lazima mwanadamu achague ambaye atamtumikia.
@EduTalkTz Mpaka wakati huo bado malaika hawakuelewa mambo yote yaliyohusishwa katika pambano kuu.
Kanuni zilizokuwa hatarini zilikuwa zifunuliwe zaidi
@EduTalkTz Hatuwezi kupima nguvu za mtu katika nyakati nzuri, nyakati nzuri sio kipimo cha watu majasiri, ,, Maandiko yanasema Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache.
JASIRI HUPIMWA NYAKATI MBAYA
Kwa swala lako iko hivi; shetani alipoasi Mbinguni hakuangamizwa wakati ule.
@SenzoMkwananzi No. *The people we defend Adventism to them today in the Adventist Church have never been Adventist. They're are just non-believers in a rob of believers.