• Usikate tamaa
• Moyo mgumu huenda ukalainika
• Aliye mbali ipo siku atarudi
• Lisilowezekana linahitaji muda ili liwezekane
• Jambo gumu ukilipambania na kudumu nalo basi huwa jepesi
• Lile unalodhani leo kwamba halitakuwa, huenda kesho ukalikuta lipo mbele yako ⬇️
Uamuzi wa OPEC+ wa kupunguza uzalishaji ulifanywa ili kuleta balance kwenye soko la mafuta -Alexander Novak.
Kulingana na yeye, akiba ya mafuta duniani ni mapipa milioni 87 kwa siku chini ya wastani wa thamani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
"Hata hivyo, tunaona 👇