Katika kuchukua hatua dhidi ya janga la #Coronavirus, hasa kupitia 'Self-isolation/Kujitenga' kipato kinashuka kwa mwananchi huku gharama za maisha zinapanda. Serikali kwa nafasi yake iongeze nguvu katika kurahisisha upatikanaji wa mahitaji muhimi ili wananchi wasijitose.
Hivi mnakumbuka Augustine Lyatonga Mrema mwaka 1993 hadi 1994 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu, cheo ambacho hakikuwepo kwenye Katiba ya nchi na mwaka 2023 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
Noana kabisa huu wimbo 'Enjoy' wa #Jux ft. @diamondplatnumz ni jukwaa zuri la kutangazia kinywaji cha aina yoyote.
Makampuni ya vijwaji changamkieni fursa.
Serikali Ya Zanzibar Imesema Askari Wake Wameanza Kukamata Wanaume Wote Wanaosuka Nywele Kama Za Wasichana Wakiwa Zanzibar Bila Kibali Maalum Na Kusema Iwapo Mwanaume Atataka Kuwa Na Kibali Cha Kusuka Atatakiwa Kulipia Shilingi Milioni 1.