CHAWA wewe.Rais anatoa wapi vitu ?Unaandika ujinga.Acheni kuondoa maana ya watu kujua umuhimu wa kodi.Rais hana hela.Maisha yake binafsi yanatunzwa na kodi.Elimisheni umma juu ya kodi ili wajue maendeleo ni wajibu wao ktk kulipa kodi.Waganga wa Kienyeji sio wazuri kwa umri wako.