Kama ulizaliwa familia ambayo wazazi na ndugu hawakuchukulii kama breadwinner, kuwa mwenye shukrani kwa muumba.
Black tax hufanya vijana wengi sana kubaki kwenye umasikini. Hutumia maisha yao yote kulea familia zao na zile walizotokea. Fanya kila kitu watoto wako wasikulee.
One of my favorite quotes is the one from Marcus Aurelius: ‘The happiness of your life depends upon the quality of your thoughts.’
I think it’s always good to remember it.
Mapema leo katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, Dodoma, nilipoambatana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ahsante kwa wanachama wote wa Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakazi wa Dodoma, wanakijiji wenzangu wa Chamwino na wananchi wote kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu kwa salamu za kheri.
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Begi lenye Fomu zake za kugombea nafasi hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Dodoma.
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.