@chapo255 Daah, vijana bhana kwa kupenda kuonesha mnajua vitu ๐ ๐
Jifunze kukaa kimya kwa mtu au maisha ya usiemjua, sio lazima uongelee kila kitu, itakusaidia ๐
@ReganTesla_ โโฆSikuwa na uwezo wa kuku-treat kama millionaire,
Mapenzi yakazidiwa na maisha we had to break somewhereโฆโ
by Mwana FA - Kama Zamani @MwanaFA
@AyTanzania@YouTube Coincidentally naona hii tweet yako while hii ngoma imekua on repeat ๐ for a week now kwa laptop yangu, this was really good music ๐๐ฝ