@LakeShowYo The show was deeply rooted in his heritage. From the visuals of Puerto Rican streets to the inclusion of traditional Bomba dancers, he turned the stadium into a vibrant celebration of La Isla del Encanto. He used the platform to honor the resilience of his people.
Kuna mtu ka record hiyo show nzima ya 001, ni kama nilikuwa hapo VVIP na nyie but closer. Mwingine yuko backstage kamrecord akiwa anajiandaa kutoka kufanya performance.
Immaculate ๐คฉ ๐ ๐๐พ
10/10 recommend
Wenzetu wa Iran waliandama mara 2 na kupigwa risasi na serikali yao na dunia haikujali, safari hui dunia imejali.
My point is, na sisi Watanzania lazma tuandamane tena ili dunia inotice.
Pia tukumbuke kuwa Iran hawakupanga tarehe ya maandamano. Hawakufanya kampeni ya maandamano kwenye mitandaoni, walilipuka tu out of nowhere. Na sisi lazma tuige hii ya maandamano kulipuka ghafla