RONALDO NDIO BINADAMU MAARUFU ZAIDI DUNIANI
Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 39 raia wa Ureno anatajwa kuwa inawezekana akawa ndio binadamu maarufu zaidi duniani.Ndio binadamu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Unahisi binadamu gani ni maarufu zaidi?
Baada ya Kibu Denis kurudi kutoka Algeria kramo ameanza kuumwa Tena 😢. Kibu alivyokuwa hayupo Kramo alikuwa mzima na alikuwa anaperform na kufunga kila game za kirafiki alizocheza. Hii inafkirisha sana.
Dickson Job, Mchezaji ambaye Simba walikuwa wa kwanza kutambua ubora wake na ndio timu ya kwanza kuwasiliana na Mtibwa ili akakipige makutano ya Uhuru na Msimbazi.
Ni makosa kidogo tu ya kiufundi yalitokea na Kijana akaenda Yanga,.
Dogo anaitwa ENZO ameondolewa timu ya taifa ya Ufaransa U16 kwasababu za kinidhamu, ikisemekana shida ilianza alipofunga mabao kisha akafunua jezi kuonesha ALLAH IS GREAT hii inatokana na changamoto wanazopitia waislam huko Ufaransa.
Chanzo: @FKihamu
Hakuna beki yoyote anayeweza kumzuia huyu Striker kwa sasa hapa Africa,.Kwani ana namna zote za kukufunga hata ukiwa na beki wa viwango kwa kiasi gani.
Hili goli la @SimbaSCTanzania ni la Offside mchezaji Mkude alikuwa ktk eneo la kuotea lkn refa ameamua kuipa heshima timu kubwa,.ila kuna shida mahali.