Jumatano Njema!
Acha Jumatano hii nzuri ikukumbushe kuwa kila siku mpya ni nafasi mpya ya kutabasamu, jaribu tena na usonge hatua moja karibu na ndoto zako. Acha amani iongoze mawazo yako, nguvu ikubebe katika changamoto zako na tumaini lijaze moyo wako leo.
Habari za asubuhi๐๐ฝ
Ee Mungu, asante kwa hatua ulizonisaidia kufikia.
Nitie nguvu niendelee pale hamasa inapopungua.
Nipe nidhamu kuliko hisia za muda, nishinde vishawishi, nikumbuke kusudi langu, na nibaki katika njia njema. Niongoze hadi ukamilishe kazi njema uliyoanza ndani yangu.
Amina.๐๐ผ
Ukiwa mdogo huenda usione kila alichopitia baba yako. Lakini siku moja utaelewa kuwa alibeba mizigo mingi kimya kimya ili familia yenu isimame. Hata kama nyumbani hamkuwa wakamilifu.
Happy Fatherโs Day kwa baba wote. ๐
Chuma Kikikaa Stoo Bila Kufanya Kazi Kinalika Na Kutu,Lakini Kikitumiwa Kulimia Shambani Kinazidi Kung'aa Na Kuwa Kikali.Akili Na Ujuzi Wako Usipovifanyia Kazi Vitalika;Vitumie.
#ElimikaWikiendi
Kuna hali inaitwa Invisible War.
Ni pale kila mtu anadhani uko sawa.
Unacheka.
Unaongea.
Unaonekana kawaida.
Lakini ndani unapigana vita vikubwa sana.
Vita vya hofu.
Vita vya mashaka.
Vita vya future yako.
Na hakuna anayejua isipokuwa Mungu.
Good Morning..
Kumjua Mungu Ni Kujua Kila Kitu,Kujifunza Kuhusu Mungu Ni Kujifunza Kila Kitu,Kumpata Mungu Ni Kupata Kila Kitu,Kwa Sababu Mungu Ni Kila Kitu.
MSISITIZO:Mungu Ni Siri Ya Vitu Vyote.
Good Morning๐Ladies And Gentlemen๐ซ
YOU DID GOOD TODAY
Umefanya vizuri sana leo. Huenda huioni, huenda unahisi ni siku ya kawaida tu, lakini haikuwa ya kawaida. Kila hatua uliyopiga leo, hata zile ndogo sana ulizozipuuza zilikuwa hatua za mbele. Hakuna hatua iliyokuwa bure, hata kama haukuihisi kama mafanikio.
๐งต