#UKWEL#MCHUNGU
Hata Mwanamke Apromotiwe vipi
Kushika Nafasii ya Mwanaume kwenye Jamii....👪
Haitotokea Mwanaume kuja na kesi ya Mke kutoacha kodi ya Meza...
Kwaiyo Wakatiii mnajaribu kumpinga Mungu Mhakikishe , mnagusa vipengele vyotee kwa usahihi😊...😎

#HARD#FACT
Asilimia kubwa ya watu wanaoingia kwenye maisha yetu kirahisi,
Wanaondoka kirahisi, pia
Wanatuchukulia kirahisi na
Wanapotea kirahisi....
#Ukijitahid#utanielewa✍️😊

Wakatii mwingineeee hatufikii sio kwa sababu hatua zetu nu fupii,ila ni kwa sababuu wale tunaowachagua kuongozana nao kwenye safarii wanatusababishia ajali nyingii sanaa njiani wakati wa Safari....🤠🏃....
🚦