#POLITICAL_TOLERANCE
UVUMILIVU WA KISIASA.
πNi utayari wa kukubali na kuheshimu haki,maoni na mitizamo ya wengine, hasa ya watu wenye mitizamo tofauti ya kisiasa nawewe.
π Ndio jiwe kuu la pembeni la ulibelaria/liberal democracy; hii ni aina ya demokrasia yenye Sifa zifuatazo
Hapa kuna viwanja viwili vinakaribiana. Shel mbili singida road, ni 1.5 km Toka barabara kuu (karibu na CDF MABEYO) ni 1km toka hospital ya Jiji la Dodoma ilipo. Kila kimoja ni 975 sqm. Ni vzuri Kwa makazi na kilimo pia.
Wahi Sasa 0762015905.
Singida road shel mbili, ni mita 150 toka barabara kuu. Eneo zuri sana Kwa uwekezaji, (godown, apartments, kiwanda n.k) ukubwa wa eneo ni 1315 sqm.
Nipigie Sasa hivi 0762015905.
It is the birthday of my dear wife, friend, mother, grandmother and rock of our family. Lucy Akiiki Marunga has turned 75 today.
We thank God for her life as we wish her continued good health and many more birthdays to come.
Sasa ni wakati sahihi wa kijana mwenye maono kukaa kwenye Wizara nyeti. Rais @SuluhuSamia naomba sana huyu bwana mkubwa @jnanauka mpe uwaziri Wizara ya Fedha.
Lakini mama yetu @Dr_DGwajima arudi kwenye Wizara yake hana mpinzani. Sheria akae Kabudi, Mambo ya nje @TuliaAckson
atakupenda kama pesa. Hayati Magufuli aliwahi kusema "mtu akikuchukia hata kama utapita kwenye maji atasema unamtimlia vumbi".
Abadani, huwezi kumridhisha abdi.
@HKigwangalla@HusseinBashe
#POLITICAL_TOLERANCE
UVUMILIVU WA KISIASA.
πNi utayari wa kukubali na kuheshimu haki,maoni na mitizamo ya wengine, hasa ya watu wenye mitizamo tofauti ya kisiasa nawewe.
π Ndio jiwe kuu la pembeni la ulibelaria/liberal democracy; hii ni aina ya demokrasia yenye Sifa zifuatazo
wanakutukana, wanakukosoa vibaya, unapungua damu mwilini? Inaondoa Sifa ya wewe kuwa Rais/kiongozi wao? KWANINI mtu usiyapokee na kufanyia kazi yanayofaa au kuamua kuyapotezea kabisa? Kibunda si bado unapiga?.
Kiongozi,laziam awe na uwezo wa kutambua kwamba, si Kila mtu ..
#MIMI_SITOSHIRIKI_KUPIGA_KURA.
FUATANA NAMI KUJUA NINI KITATOKEA USIPOSHIRIKI KUPIGA KURA.
Usipojitokeza kupiga kura, kuna mambo kadhaa yanajitokeza yasio na madhara ya Moja Kwa Moja;
π Unakuwa unajiweka kwenye kundi la watoto wenye umri chini ya miaka 18.
zinaweka bayana haki Yako kupiga kura, na masharti yake. Hivyo unakuwa umejikatili kikatiba.
π Si kweli kwamba watu wote watasusia uchaguzi, piga ya garagaza, wapiga kura watajitokeza wengi sana tu,nimeprove hili mara nyingi, mitandao huwa inadanganya sana,watu Wana ukereketwa
Nimeota ndoto usiku wa kuamkia Leo tarehe 14/10/2025.
Nimeota kuna watu wanatoa taarifa ya kufariki ubavu wa Moja ya kiongozi mkubwa hapa nchini. Walikuwa wakisisitiza na walifurahiahwa na taarifa hizo.