@Radio47_Kenya@EvahMwalili Good morning mama taifa and happy new week, qunfudhah kwema tayari kwa baraka za week @EvahMwalili @Radio47_Kenyanurunaevahmwalili
Bwana asifiwe, mwanaligi! Uko tayari kupokea baraka za wiki hii Jumatatu kutoka kwa @EvahMwalili T ? Jiunge nasi kwenye #Nuru47 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi 6:00 asubuhi.
Join WhatsApp channel: https://t.co/yRSuTPokLX
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: https://t.co/cxx6yId6VZ
Facebook: https://t.co/8v6BwsCevx
TikTok: https://t.co/q0lubL6qAZ
Instagram: https://t.co/lroM0JLqv3
#HapaNdipo #NuruNaEvaMwalili
#Neno....MUNGU NI TAA KATIKA GIZA. Zaburi 18:27-29
Katika giza letu Mungu anafanyika kuwa mwanga na hivyo kufanya njia zetu kung'aa. Mwana Ligi unaweza ruka ukuta, unaweza ruka kila kikwazo na ukafika Galilaya. Mungu akupe nguvu ushinde hicho kizuizi! Tukutane Galilaya!
@EvahMwalili
Watch us live: https://t.co/YCJwEHxuk0
Join WhatsApp channel: https://t.co/yRSuTPokLX
WhatsApp No: 0719 739487
#NuruNaEvaMwalili #HapaNdipo
Gumzo na Mchungaji..
Yale mapigo kumi kwa Wamisri yaani the ten plagues of Egypt yana maana gani? Kaa tayari kwa mahubiri na mafunzo ya mchungaji @bonfacemakanda
Watch us live: https://t.co/YCJwEHxuk0
Join WhatsApp channel: https://t.co/yRSuTPokLX
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: https://t.co/cxx6yId6VZ
Facebook: https://t.co/8v6BwsCevx
TikTok: https://t.co/q0lubL6qAZ
Instagram: https://t.co/lroM0JLqv3
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo
Wakati wa maombi..
YESU UNAPOZURU WENGINE USINIPITE!
Marko 10:46-52
.....Aliposikia kuwa Yesu wa Nazareti alikuwa akipita, akaanza kupiga kelele, “Yesu, Mwana wa Daudi, nionee huruma!” Leo Yesu asikupite, anapowakumbuka wengine akukumbuke!
Watch us live: https://t.co/YCJwEHy29y
Join WhatsApp channel: https://t.co/yRSuTPoSBv
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: https://t.co/cxx6yIdELx
Facebook: https://t.co/8v6BwsCMl5
TikTok: https://t.co/q0lubL6Yqx
Instagram: https://t.co/lroM0JLYkB
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo
Gumzo na Mchungaji
It is finished!! Leo mchungaji Pastor Bonface Makanda anatufunza maana ya Yesu kusema imekwisha. Pata mafunzo ya nuru!
Watch us live: https://t.co/YCJwEHy29y
Join WhatsApp channel: https://t.co/yRSuTPoSBv
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: https://t.co/cxx6yIdELx
Facebook: https://t.co/8v6BwsCMl5
TikTok: https://t.co/q0lubL6Yqx
Instagram: https://t.co/lroM0JLYkB
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo