Kijana Mmoja katika mtaa wa Wahamaji afariki baada Kunywa maziwa
Inaarifiwa kijana huyu ambaye hakutajwa jina alikuwa katika kibarua cha kupakia mali kwenye gari ili kusafirisha hadi mtaa jirani ambapo mteja wao alihamia.
Read more...
https://t.co/oIMFFalQa9
Safari ya masomo ya nyanjani kwa wanafunzi wa Kiswahili Chuoni Moi imekatizwa baada ya basi waliloabiri kuhusika katika ajali eneo La Kimende kwenye barabara kuu ya Nakuru - Nairobi usiku wa kuamkia Juma tano. Majeraha madogo yameripotiwa baina ya wanafunzi.
Tea are just leaves but the impact of this leaves is witnessed by many. Through this leaves some of us we are able to get our daily bread and also Education. Its my pleasure to appreciate all of parents who didnot own a branch but worked hard as tea pluckers.
We offer a wide range of academic programmes designed to meet the needs of students with diverse interests and career goals. Our Faculty Members are highly respected experts in their fields, and are dedicated to helping our students achieve their full potential.
Join us today..
CHOLERA OUTBREAK kills two in Kisumu; County Director for Public Health Liliana Dayo says, nine others are admitted to hospitals.
https://t.co/EdssHAuI1V