#TajiriLaKihaya
Sasa kama kwenye Chama Chao tu…
Mtu anashinda Kwa kura zaidi ya 70% kutoka Kwa wajumbe…
Lakini bado Hapitishwi…
Kura yako ndio unafikiri itaheshimika???
NATOA ANGALIZO. Mimi Naamini MTANZANIA KUTOKA POPOTE ANAWEZA KUWA MUWAKILISHI WA WATANZANIA POPOTE.
Kitendo cha Salim kusema Amezaliwa Mbeya na pia amezaliwa Moshi ni kiashiria cha Udanganyifu, Swali, kwanini amedanganya?
Muogope Mungu na Teknolojia - Ruge
Msimtag tafadhali
#TajiriLaKihaya
Yaani shangazi @fatma_karume yupo Mstari wa mbele kuwatetea MaSHOGA jambo ambalo limekatazwa ndani ya QURAN…
Ila leo anajidai kuipenda dini yake na kuchukizwa na matendo ya GWAJIMA 😅😂
Of course wote tunajua jamaa huwa Tapeli kwenye kufufua watu nakadhalika 😅
Ila kwa hili la Kuwasema WATEKAJI live na kuwazungumzia walioTekwa!
Sisi WAPWA tutasimama nae na Tutamlinda kwa wivu mkubwa saaana!
Shukrani na Tafakuri
Leo ni miaka sita: maisha yangu—na familia yangu—vilisimama ghafla! Hofu na sintofahamu nyingi zilitugubika. Lakini Alhamdulillah, Mungu Mwenye Enzi, alikuwa na mpango mkubwa juu yangu, na kwa wingi wa Neema yake nilirudi salama kwa wapendwa wangu.
Ninashukuru sana na siku zote nitakumbuka, sala, upendo, na msaada niliopata kutoka kwa familia yangu na watu wengi walio simama pamoja nasi katika kipindi hicho kigumu. Nguvu zenu zilinitia moyo na kunipa tumaini.
Kama Qur’an, inavyotukumbusha “Na yeyote anayemhofu Allah: atamfanyia njia ya kutokea na atampa msaada utokao asipopataraji.”—(Surah At-Talaq, 65:2-3). Hakika Wema wa Allah na Rehema zake hazina mipaka.
Ninapofanya tafakari leo, nataka kuamini kwa dhati kwamba hatakuwepo mtu mwingine yeyote atakayepitia yale niliyopitia! Matukio kama hayo hayapaswi kutokea popote duniani. Kila mtu anastahili kuishi pasipo hofu na wasiwasi wa kukatishwa kuiona kesho.
Tunamuomba Allah aendelee kutulinda, kutuongoza, na kutusaidia kuelewa kusudi lake kwetu ili tufikie malengo yetu maishani. Nashukuru sana kwa msaada niliopata toka kwenu ndugu zangu: Taifa langu. Tuendelee vivyo kusaidiana na kuinuana kwa upendo, imani na tumaini jema.
Upendo wangu na shukrani zangu daima! 🙏🏽
Watu wa Photoshop na Graphic wanakula sana hela ya Waziri Salum
Jamaa ni lishamba sana, linaokotewa mapicha mtandaoni linalipa mamilioni
Position ya mtu kama Waziri anapewa mtu kama Doto Magari ndio matokeo yake haya
Waziri bora angebaki kwenye udalali
Ukinunua t-shirt 15,000/= hapa Bongo unakimbia kama mwizi unafikiri umeotea
Kumbe huko China inauzwa 900/= Tu
Na ukisafirisha Hadi ikifukie mkononi gharama ni 400/= Tu 😆😆
Jifunze kutumia Alibaba.
The Tanzanian ruling party’s anti-democratic actions aren’t “backsliding”—they’re business as usual. Despite U.S. (naive) optimism over a new president & superficial reforms, the regime’s repressive grip remains firmly in place. See more from @SenateForeign Ranking Member Risch:
Brain Power. Nakupongeza kwa fikra njema na mawazo chanya sana yenye uthubutu na maono makubwa. Nikiwa Dar nitakutafuta angalau tunywe kahawa pamoja na kuona kazi yako hii njema ambayo ni muhimu sana kwa Taifa na Dunia haswa kipindi hiki ambacho suala la mabadiliko ya tabia Nchi linapaswa kukabiliwa kikamilifu. You are a smart guy. Don’t give up , kesho yako ni kubwa sana.
Rais Samia kwani shida ni nini? Mbona nchi yetu imechafuka kwa kipindi kifupi sana? Haya ndio mambo yanayokuondoa madarakani. Nadhani tulikwambia sana, natukarudia, #Wahuni wameamua kwamba mara 100% wapinzani kuliko wewe kitu ambacho ni hatari.