TUJIFUNZE. KUNA METHALI MOJA MAARUFU KUTOKA KABILA MOJA LA KIAFRIKA INASEMA:
"NI WAJINGA PEKEE NDIO WANAOJIPIMA NGUVU YAO KWA KUJIPAMBANISHA NA MAREHEMU"
@MwanaspotiTZ mimi naona tuseme kwa match mbili baada ya hii ya Al alt tutumie kauli mbiu 'ramble in Dar es Salaam' na next match iwe na kauli mbiu ' thriller in msimbazi'
@SimbaSC Wana Simba, hiki ni kama vile ni kipindi cha majanga. Tuiombee timu yetu, na hasa tuwaombe viongozi wafanye kazi ya ziada kujenga timu itakayohimili ushindani...
@Prof_Matambalya l This week, South African President Cyril Ramaphosa unveiled a massive R500 billion (US$26,2 billion) Covid-19 relief package. In comparison, the clueless chaps in Harare have announced price controls on basic goods.
@Prof_Matambalya For me, the following article in the Zimbabwean Newspaper 'The Independent', manifests "THE ART OF COMPARING THE INCOMPARABLE". It also sounds suspiciously similar to a typical cluesless argument you are likely to hear from an African 'opposition' politician.
@Prof_Matambalya CHANGAMOTO KWA NCHI 'HURU' ZA AFRIKA: 'US investigators arrived in the Sudanese capital Khartoum on Wednesday to help local authorities investigating an assassination attempt that targeted the Sudanese PM'
JE, HILI NI SAHIHI AU NI AIBU KWA 'AFRIKA HURU'?
@Prof_Matambalya Ndugu zangu Wanasiasa tuache, 'ushamba wa kisiasa' . Kuwa Mwanasiasa hakumaanishi kuwa juu ya sheria.... badala yake mwanasiasa kama kiongozi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na wananchi kwa kuzingatia sheria🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Prof_Matambalya
HOW TRUE ARE THE FOLLOWING CLAIMS IN A WORLD FULL OF 'FAKE NEWS'? : There are 'mature and responsible countries', with 'a free press reports facts'.
@Prof_Matambalya Tanzania tunahitaji wanasiasa na viongozi wanaojitambua na Wazalendo watakaolinda uhuru wetu na umoja wa Kitaifa. MUNGU IBARIKI DUNIA ULIYOTUUMBIA. MUNGU IBARIKI AFRIKA. MUNGU IBARIKI TANZANIA🙏🙏🙏
@Prof_Matambalya🤔🤔Jamani ndugu zetu Wakenya! Our Kenya again in full campaign mode.... I think this level of greedy and selfishness is an unfortunate weakness. If continued will systematically isolate Kenya.. Please, think of other countries as well... https://t.co/TXcLzt4kc7
@Prof_Matambalya Swali wadau:
Je ni sahihi kwa wanasiasa kuwaita wananchi wao majina kama 'walala hoi', 'wauza nyanya' nk.? Mimi binafsi nadhani maneno haya yana 'kebehi' (ni 'derogatory') ndani yake na si vizuri kuyatumia kama ndio kielelezo cha Watanzania. Mnasemaje wenzangu?
Tunahitaji demokrasia ya vyama vingi, hilo ni sahihi kabisa... Ila ili kufikia lengo hilo, ni lazima Vyama vya Watanzania vijijenge Tanzania. Haviwezi kujijenga nje ya nchi, ili kuepuka kupabdikiziwa 'surrogate' na 'wakubwa' kutoka nje kama alivyoonya Baba wa Taifa.... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿