You were born for reason! Wakati mwingine vitisho ndo vinaturudisha nyuma tusitimize majukumu yetu kama ilivyokusudiwa na M/Mungu. Kusimama imara na kuvishinda vitisho inaridhisha nafsi na kurejesha furaha na amani isiyo na kikomo, na kwa vizazi vijavyo.. keep moving as you canโ
@moshijnr Sema mwanetu napenda kukufuatilia ila mpangilio wa maneno na kutengeneza sentensi iliyonyooka inayoeleweka moja kwa moja ni gumzo kwa wafuasi wako๐